Ezekiel 27:30-31


30 aWatapaza sauti zao
na kulia sana kwa ajili yako;
watajitupia mavumbi juu ya vichwa vyao
na kujivingirisha kwenye majivu.

31 bWatanyoa nywele zao kwa ajili yako,
nao watavaa nguo za magunia.
Watakulilia kwa uchungu wa moyo
na kwa maombolezo makuu.
Copyright information for SwhKC